BONYEZA: ANGALIA MUHTASARI NA MASOMO HUSIKA

KARIBU USAJILI WA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI(2025/2026 INTAKE)

KARIBU ALHARAMAIN TEACHERS COLLEGE chuo cha kisasa na chenye wakufunzi wabobezi katika taaluma ya ufundishaji. Kipo Kariakoo jijini Dar es Salaam, karibu na kituo cha mabasi yaendayo kasi.

Chuo kina Mazingira mazuri na miundombinu rafiki katika utoaji elimu

Chuo kinafikika kirahisi toka pande zote za jiji la Dar es Salaam.

FUNGUA VIDEO HAPA CHINI UONE MFANO WA MAFUNZO KWA VIDEO KWA WALIO MBALI

Fungua Fomu ujisajili: JAZA FOMU MTANDAONI

ALHARAMAIN TEACHERS COLLEGE

MAFUNZO YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI(Diploma In Primary Teacher Education)

Sifa za kujiunga

Uwe umesoma masomo ya sekondari na kupata ufaulu wa kuanzia masomo 4

Uwe umesoma Kozi ya ualimu Grade A au Cheti kinachotambuliwa na wizara ya elimu kwa ngazi ya ualimu wa shule za msingi

Fungua Fomu ujisajili: JAZA FOMU MTANDAONI

BONYEZA ROBOTI HAPA CHINI KUTUMIA AKILI MNEMBA KAMA REJEA

Kwa sasa usilipe pesa yoyote ni kujisajili na kupata mawasiliano na chuo kwa wanafunzi watarajiwa wa awamu ya mwaka 2025/2026. Gharama zitakuwa rahisi kulipika kwani karo kwa mwaka ni 700,000 tu. Utalipa 200,000 kwanza na nyingine utakuwa unalipa kila mwezi 50,000 mpaka umalize karo yote. LENGO ni kuwapa huduma walimu kadiri inavyowezekana ili wafaulu mitihani na kupata maarifa zaidi kikazi.

NGAZI YA CHETI MAFUNZO YA UALIMU WA ELIMU YA AWALI(NURSERY TEACHING)

Sifa awe amemaliza kidato cha 4, Gharama ni 800,000 kwa mwaka kwa wanafunzi wa kutwa. UNALIPA KWA AWAMU 3. Awamu ya kwanza 300,000/= na Wanafunzi wa Hostel watalipa awamu 3. Awamu ya kwanza 600,000, Awamu ya pili 600,000 na Awamu ya mwisho 500,000. Huyu atakaa hostel na atapata huduma za kulala na chakula. Pia ataongezewa mafunzo ya Kompyuta bure.

Dunia ya sasa inaheshimu mbinu za kutoa huduma ya elimu kwa wahusika hata wakiwa kazini na popote pale penye mtandao ili wapate wanachohitaji. Sasa ni muda muafaka wa walimu kujisajili na kupata elimu ya ziada hata wakiwa kazini wakati wa break, wakiwa ktk usafiri na wakiwa nyumbani hata usiku kwa kutumia simu za mkononi au vishikwambi au laptop

BONYEZA: ANGALIA MUHTASARI NA MASOMO HUSIKA

Bonyeza hapa kujisajili LEO Kidijitali JAZA FOMU MTANDAONI